Uchaguzi 2020 Mgombea urais: Vijana msisubiri ajira kuweni kama marasta

Uchaguzi 2020 Mgombea urais: Vijana msisubiri ajira kuweni kama marasta

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupita Demokrasia Makini, Cecilia Mmanga amesema vijana wawe kama marasta, wasisubiri ajira za serikali.

Amesema hayo alipoulizwa kuhusu namna ambavyo Chama cha Demokrasia Makini kilivyojipanga kutatua tatizo la ajira nchini wakipata ridhaa ya kuongoza nchi.

Amesema kuna ardhi ya kutosha kwa hiyo kila mtanzania atapewa heka moja ya ardhi ili aweze kulima, kwenye suala la kilimo wanakuja na sera ya ‘Kilimo cha kufa na kupona’

Pia amesema bei ya mazao ambayo yatazalishwa kutoka kwenye mashamba hayo serikali haitawapangia bei hivyo watajipangia wenyewe.
 
Back
Top Bottom