Elections 2015 Mgombea urais wa CCM, John Magufuli ni batili


Na hiki ndicho CCM wanakificha kwa mgongo wa Richmond ya 2008!!
 
Huyu atakuwa batili mpaka arudishe nyumba zetu na bil. 252

tatizo ni ukasuku ndo unawasumbua nyumba zipi,mpingie simu sumaye muulize kuhusu suala la nyumba za serikali atakupa majibu, ndo maana vingozi wako hawawezi kulisema hata kidongo slaa ameawambia someni acha magazeti ya matapeli,
 

Na DECI nayo walikula!! CCM ina laana hii!!
 
Na hiki ndicho CCM wanakificha kwa mgongo wa Richmond ya 2008!!

hivi nyie mnapoeleza hizi porojo mnaelewa? au ndo hamjielewi?,nijibu haya
1,slaa alipotaja richmond 2010 alikuwa ni ccm ?
2,mnyikaalipotanya richmond ubungo na nyaraka amezishika mkononi ilikuwa ccm?
3 lema alipowaapisha watu wa arusha soweto na kumtaja lowasa kuwa ni shetani maana fisadi ni shetani alikuwa ni ccm hiyo?
tatizo nikubabia mambo kama haujui kitu kaa kimia,

 

Bila katiba Mpya ile iliyokatika rasimu ya Warioba tutashuhudia Escrow na Richmond za kumwaga!! Piga chini CCM !
 

hatwabie haya kwanza,
1,richmond ni ya nani tena aite vyombo vya habari na kutanga waziwazi kama alivyafanya slaa, na sitaa,
2,milion 300 za ujenzi wa nyumba ya mbunge monduli akiwa waziri mkuu,
3 wizi wa pesa akiwa mkurugenzi wa icc
akijibu haya ndo akaseme ya wabakaji wa wanaorawiti watoto ,
 
Sheria ipi ya watu kutolipwa DECI yao mpaka leo!! Hii sheria imetungwa ili kuwatungua watu au!!

kwani huo upatu walifanya na ccm au na wachungaji au hao wachungaji walikuwa makada wa ccm?
unasema uongo na hata ushaidi hauna wakati wa uongo umeisha mkuu angalia usijejutia,
 
Bila katiba Mpya ile iliyokatika rasimu ya Warioba tutashuhudia Escrow na Richmond za kumwaga!! Piga chini CCM !

tena suala la katiba ya warioba usilitaje tena maana viroba vya pesa ndo vimewaondoa wahasisi wa mchakato ambao ni lipumba na slaa na kuweka aliyelipinga katiba hiyo lowasa.kumbukumbu ni muhimu sana mkuu,
 
mkuu kuna bomu la asilimia 25 ya tanzanite zidi ya sumaye akiwa waziri mkuu linakuja ,mpe salamu zake summaye,

Hakuna shida ni uhuru wake kusema chochote bila kuvunja sheria za nchi
 

Hao unaosema wanaushahidi si ndio washitaki wake basi wautoe hadharani?? Mke wa zamani wa Slaa kaja na ushahidi jana wa watoto aliowatelekeza!!??

Wewe unao ushahidi wa wizi wake wa ICC sijui ya wapi hii??? ICC ndio kitu gani wewe unayeropoka???

Kuna ubaya gani kujenga ofisi ya mbunge! Muulize Sita alijenga ofisi ya SPIKA urambo Tabora! Huko ndiko alitaka kuhamishia bunge la jamuhuri au yeye ni Spika wa maisha!!???
 
Nyerere hayo unayozungumza hayana mashiko.

Lowassa aliahidi kuhamia CHADEMA na wenyeviti wote waliomuunga mkono ndani ya CCM na wabunge 150.

Leo wako wapi zaidi ya Mgeja na Msindai?. ambao nao hawajafuatwa hata na mwenezi wa tawi?.

Eti Lowassa ana nguvu ziko wapi hizo zaidi ya kufanya siasa za maji taka?.
 

Yani hata kuandika hujui, NI KIMYA NA SIO KIMIA!!
 

unauhakika na ulichokiandika? Au umeona uongee tu kwavile kila mtu anaongea?
 
kwani huo upatu walifanya na ccm au na wachungaji au hao wachungaji walikuwa makada wa ccm?
unasema uongo na hata ushaidi hauna wakati wa uongo umeisha mkuu angalia usijejutia,

Wananchi wa kawaida tu waliweka pesa zao pale na baada ya serikali kuingilia kati na kufunga akaunti za DECI! Je, watu hao wapateje pesa zao???
 

A,Nyerere kaongelea kilichomhamisha na siyo matokeo ya baada ya kuhama?? Think big!
 


Nauza Gari langu Nissan patrol gxl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…