Elections 2015 Mgombea urais wa CCM, John Magufuli ni batili

Majina nimeyaandika,Jaji Ramadhani,Mahiga,Asha Rose,Mizengo Pinda na Makongoro. Hao ndio waliochaguliwa katika mchakato,lakini Kikwete akabadilisha mambo ili ,inasemekana amweke Membe,na ndiyo ikaleta kura za hasira.

Kundi la Lowasa ndio liliichagulia ccm nani awe mgombea wa ccm, na sasa wamekigeukia kinyago walichokichonga wenyewe. Hakitasalimika.
 


Huo ndio ukweli huko huko ccm ikifika Oct karibia ya uchaguzi ndo utaelewa ujumbe Wa mtoa mada
 
🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…