Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CHADEMA azidi kupoteza kura toka kwa wananchi

Ndugu unajidanganya na huna la ukweli, sie wana CCM wenzio tunajua mgombea wetu atashinda lakini sio kama tipendavyo, lissu atapata kura zisizo chini ya 2 millions
 
Njooni mumuuze Lissu huku Kilimanjaro, wengi wanataka vitendo na sio maneno. Kilimanjaro inaenda upande wa pili tena kwa kasi sana..
Watu hawataki kucheleweshwa kufika kwa kumfanyia majaribio ya urais Tundu
 
Kwa bahati Mbaya Sana wewe ndiyo itakaye poteza Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…