Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Lipumba kupokelewa kesho Agosti 13,2020 jijini Dar es Salaam

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Lipumba kupokelewa kesho Agosti 13,2020 jijini Dar es Salaam

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234
IMG_20200812_062958_347.jpg

Mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Prof.Ibrahim Haruna Lipumba atapokelewa kesho agosti 13,2020 akitokea jijini dodoma kuchukua fomu ya NEC.atapokelewa ubungo na viongozi wakuu wa chama,wanachama na wapenz kwa ujumla.
 
Vip zanzibar mmeona lakini moto wake alipoaambiwa kuwa CUF ni Maalim Seif akabisha mmeona lakini?
 
Back
Top Bottom