CUF Habari JF-Expert Member Joined Dec 12, 2019 Posts 239 Reaction score 234 Aug 12, 2020 #1 Mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Prof.Ibrahim Haruna Lipumba atapokelewa kesho agosti 13,2020 akitokea jijini dodoma kuchukua fomu ya NEC.atapokelewa ubungo na viongozi wakuu wa chama,wanachama na wapenz kwa ujumla.
Mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Prof.Ibrahim Haruna Lipumba atapokelewa kesho agosti 13,2020 akitokea jijini dodoma kuchukua fomu ya NEC.atapokelewa ubungo na viongozi wakuu wa chama,wanachama na wapenz kwa ujumla.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Aug 12, 2020 #2 🤣 🤣
J jme JF-Expert Member Joined Aug 4, 2013 Posts 4,677 Reaction score 4,814 Aug 12, 2020 #3 Vip zanzibar mmeona lakini moto wake alipoaambiwa kuwa CUF ni Maalim Seif akabisha mmeona lakini?
M mliberali JF-Expert Member Joined Jul 13, 2012 Posts 12,346 Reaction score 15,249 Aug 12, 2020 #4 Nyie Cuf mmezini weee!! na CCM Sasa mmeachwa