dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
Pambanani na matunda ya mbegu mlizopanda wenyewe.Sacretariaty ya chama inafanya vikao vya ndani ili kuweka mambo sawa.
Chama kikubwa kama CCM lazime kipitie changamoto kama hizi.
Halafu utasikia asante wana Tunduma,mmevunja record haijawahi kutokea😁😁😁😁😁😁!Ivi mafisiem hayawezagi kwenda menyewe kwenye mikutano mpaka yapakiwe kwenye malori kama mizigo? Kuna ulazima gani kusomba watu na malori toka vijijini? Walioko eneo la mkutano hawatoshi? Ndo kwenda kujaza vichwa? Asante Mama yetu ulifumbua macho kule Musoma
Kupambana ndo silaha ya jambo lolote unapotaka mafanikio.Pambanani na matunda ya mbegu mlizopanda wenyewe.
Wale wa chadema hauwaoniHao waliopakia kwenye lori wakipata ajali insurance watalipa au nakosea.
Lisu atashinda njaaKupanda malori kama mifugo inahitaji kujitoa ufahamu...Mkombozi LISSU endelea kutoa Elimu ya uraia........
Ivi mafisiem hayawezagi kwenda menyewe kwenye mikutano mpaka yapakiwe kwenye malori kama mizigo? Kuna ulazima gani kusomba watu na malori toka vijijini? Walioko eneo la mkutano hawatoshi? Ndo kwenda kujaza vichwa? Asante Mama yetu ulifumbua macho kule Musoma
1.Unapewa tshirt na kofia bure !
2.Unapandishwa lori kama ng'ombe!
3.Unaenda kupata burudani ya kiwamgo cha fiesta!
Watanzania hata kama tunapenda vya bure na burudani,tukumbuke uhai nao ni muhimu zaidi!
Jana Mbeya usafiri kwa wanaoenda wilayani ulikuwa wa tabu, ccm wamekodi mabasi mengi kwenda kuzoa watu wilayani/vijijini ili kujaza mkutano wa Meko.Halafu utasikia asante wana Tunduma,mmevunja record haijawahi kutokea[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!
Hawa watu mshipa wa aibu wanao kweli?
Wananchi wa Tunduma wanafahamu unyama wote alioagiza ili kuwabambika kesi viongozi wa Chadema , akizomewa asimlilie mtu .