Aliyeleta hivi vi smartphone, abarikiwe. Sijui ni Stephen Jobs ama? Kwa vyovyote vile abarikiwe. Niko Dar lakini ni kama niko Tanzania nzima. Haya malori yamewashinda kuficha ficha. Wayawekee maturubai. Wanafunzi siku hizi naona wanavalishwa t-shirt za njano na kijani.