Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kweli.. Rais si mbunge na wala haingii bungeni..
Mbona nilimuona akiingia bungeni last week wakati wa kusoma budget 2012/13? Tena aliingia kama mbunge wa kawaida maana sikusikia wanatengua kifungu chochote. Na hii si mara ya kwanza namuona anaingia bungeni. Inawezekana rais (presidency) ni sehemu ya bunge. mtu mwenye kujua hili zaidi atuambie.
Kenya rais ni mbunge mkuu tena Kibaki ni mbunge kwenye jimbo linaloitwa Othaya kule kwao Nyeri ila kwa katiba ya sasa rais hatakuwa mbunge