Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa Tanzania kupitia SAU, Muttamwega Mgaywa amesema kila Mtanzania atapewa kipande cha heka moja ya ardhi na kiwanja bure

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Mgombea Urais wa Chama cha Sauti ya Umma (SAU) Muttamwega Mgaywa amesema kila Mtanzania atapewa kipande cha heka moja ya ardhi pamoja na kiwanja kimoja cha kuishi bure na hawatolipia kodi.

Ameeleza "Hakuna tena kodi ya kiwanja kuanzia tarehe 28 nitakapokuwa Rais, ardhi ni mali ya Wananchi isipokuwa iko chini ya udhamini wa Rais. Hata madini kama yapo kwenye ardhi yako, Muwekezaji akija anakaa na Serikali na anakaa na wewe mnajadili"

Angalia mahojiano kamili ya Mgombea huyo katika Kipindi cha Dakika 45

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…