Uchaguzi 2020 Mgombea Urais Zanzibar 2020 anatoka hapa...

Seif Sharif Hamad na genge lake (Jussa, Mazrui, Duni Haji & et al) plus super snitch Zito Kabwe wasubiri kuisoma namba.
Jaribu kuwa na heshima kidogo kwa vichwa vipambanaji kama hivi.
Japo siviungi mkono lakini vinaisababisha serikali kujicheck.
 
Mbona Rsis wa Zanzibar yuko kama yatima?
Wakati JOM yuko na Mangula na katibu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeona ccm zbar hawakuona anaefaa kuambatana na Shen!? Any way mambo ya makoloni yana mengi nyuma ya pazia, wengine tumshukuru Mola kunakucha.
 
Lengo kubwa la CCM kushirikiana na genge la kina Lipumba kumwondoa Seif CUF ni wasiwasi ya kuwakuta ya 2015 na haswa wakati huu wakija na sura mpya ya Mgombea Urais, Tofauti na CUF ambayo ingekuwa na mgombea wake yuleyule
 
Boyz II MEN.Wanajadili ifikapo October maiti ya CDM izikwe ama ichomwe moto tusiharibu ardhi yetu tukufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…