Mgombea Uspika, Kunje Ngombari Mwiru akijinadi kuwania nafasi ya uspika wa Bunge, amesema vikao vya Bunge vinatakiwa kuwa vichache ili watumie muda mwingi zaidi kuhudumia wananchi lakini ataongeza posho.
Pia Kunje amewaahidi wabunge kuwapa magari yenye hadhi ya kupanda milima mirefu kutokana na changamoto kwenye miundombinu.
tungekuwa pia tunafanya midahalo au interview za namna hii kwenye uteuzi wa hao wabunge sidhani kama nusu na robo ya hao wabunge kama wangekuwa wabunge..
Aliahidi atawapunguzia muda wa vikao vya Bunge ili wapate nafasi ya kufanya shughuli nyingine za kusaidia Watanzania huko vijijini.. Wabunge kusikia hivyo wakaona soo. Kwa Kasi ya umeme akawaambia ataongeza posho.