voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
Ni kijana uliyeonyesha uthubutu wako bila kutetereka.
Kujipambanua bila uoga na kueleza kile unachokiamini.
Ingawa ni mara yako ya kwanza kuingia Bungeni na pia kujieleza mbele ya wabunge wote.
Hukuogopa wala kubabaika ingawa uliulizwa maswali mengine yenye hila.
Wewe ni Hazina kwa taifa kwa siku zijazo.
Maendeleo hayana chama.
Hongera sana!