GE2025 Mgombea Uwakilishi Jimbo la Kiwani (CCM) Hemed Suleiman: Sisi tunafanya mambo ya maana wao wanabeza

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Mgombea Uwakilishi Jimbo la Kiwani (CCM) Hemed Suleiman Abdulla amewaonya wanaomfuatafuata jimboni kwake kwenda kuwashawishi wananchi wake wakatae maendeleo ikiwemo magorofa.

Hemed ametoa onyo hilo wakati akizungumza na wananchi katika muendelezo wa mikutano yake ya kuomba kura kuomba katika Jimbo la Kiwani.

Amewataka wananchi wa jimbo hilo wasikubali kusikiliza maneno ya watu wengine na kuwataka wadharau wanachoambiwa na wasikilize maelekezo ya Chama cha Mapinduzi pekee ambayo kimeamua kuwaleta wananchi wake maendeleo.

Amezunguma na wanufaika wa Pensheni jamii, TASAF, wavuvi, vikundi vya ushirika na wajasiriamali
waliomo katika kijiji cha Nanguji Mdimni Shehia ya Kendwa Jimbo la Kiwani

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…