Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Mama anaupiga mwingiMama ataishia kama Jiwe.
Mbona ACT ni CCM B,wamegeukana?Mgombea wa Udiwani wa ACT Wazalendo Kata ya Mbagala Kuu,Shaweji Mketo amekamatwa na Polisi akiwa kituo Cha Kupigia kura ambako alikwenda kuzuia watu wasioandikishwa kupiga kura.Amejuruhiwa mguuni na Polisi akiwa mikononi mwao na sasa anapelekwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa yaTemeke https://t.co/90WSJZbQ3o
Hawana akiliMgombea wa Udiwani wa ACT Wazalendo Kata ya Mbagala Kuu,Shaweji Mketo amekamatwa na Polisi akiwa kituo Cha Kupigia kura ambako alikwenda kuzuia watu wasioandikishwa kupiga kura.Amejuruhiwa mguuni na Polisi akiwa mikononi mwao na sasa anapelekwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa yaTemeke https://t.co/90WSJZbQ3o
Chokochoko eh, kajitwika kazi ya polisi wanataka IGP HuruMgombea wa Udiwani wa ACT Wazalendo Kata ya Mbagala Kuu,Shaweji Mketo amekamatwa na Polisi akiwa kituo Cha Kupigia kura ambako alikwenda kuzuia watu wasioandikishwa kupiga kura.Amejuruhiwa mguuni na Polisi akiwa mikononi mwao na sasa anapelekwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa yaTemeke https://t.co/90WSJZbQ3o
Tumia lugha ya staha.Waliokuwa wanaiita takataka kuwa ni "Mama" shame on you all!Having a vagina is no proof that one cannot be a tyrant.
Tokea lini we pimbi ukawa na akili.Polisi wanatusaidia kuisagia kunguni CCM na Serikali yake kazi iendelee
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]sera mbona wanazo,na watu wanazielewa??? issue kichapo kwenye uchaguzi,ccm bila polisi weupe tuUpinzani ujitangaze kwa kutumia sera, badala ya kutengeneza matukio na kulalamika. Hakuna chama kunachoweza kuchaguliwa kwa sababu ya huruma.
Hawa watu anaowaweka ndani ambao hawana hata hatia, ambao hata ndugu zao wakiwaletea chakula nasikia kuwa wanafukuzwa na chakula chao anawaweka ndani kwa staha?Kuweka watu ndani ambao wana-exercise haki zao za msingi kabisa za kikatiba za kutoa maoni yao ni staha?Hii mikong'oto unayoizungumzia katika huu uzi wako ina staha?Tumia lugha ya staha.
Tulia we chawa wa mbowe!Mama ataishia kama Jiwe.