Zanzibar 2020 Mgombea wa AFP achukua fomu za kuteuliwa kugombea Urais Visiwani Zanzibar

Zanzibar 2020 Mgombea wa AFP achukua fomu za kuteuliwa kugombea Urais Visiwani Zanzibar

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Wakulima (AFP) Said Soud Said akipokea amefika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na kuchukua fomu za kuteuliwa kugombea katika Uchaguzi Mkuu.

Said amekabidhiwa fomu hizo na Mwenyekiti wa ZEC, Jaji Mkuu Mstaafu Hamid Mahmoud.

1598454830440.png
 
Back
Top Bottom