LGE2024 Mgombea wa CCM aliyedai Mwanamke kwenye Kampeni licha ya kuwa ni Mwanaume afafanua kauli yake

LGE2024 Mgombea wa CCM aliyedai Mwanamke kwenye Kampeni licha ya kuwa ni Mwanaume afafanua kauli yake

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mwanaume aliyenukuliwa katika kipande kifupi cha video kwa kauli yake tata kuhusu jinsia yake baada ya kudai kuwa yeye ni mwanamke, licha ya kuwa ni mwanaume kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi huko Makate, ametoa ufafanuzi.

Eston Chaula amedai kuwa hakuwa na lengo baya na kauli yake bali alisimama kumwakilisha binti yake Roska Chaula ambaye hakuwepo muda huo, alikuwa amesafiri kwa ajili kwenda kumuona mgonjwa huko Mbeya

Soma, Pia:
+
Mgombea wa Uenyekiti wa Kitongoji huko Makete ambaye ni mwanaume asema yeye ni mwanamke

Binti yake ni Mgombea wa Uenyekiti wa Kitongoji katika mtaa wa Lwangilo huko Wilayani Makete.

Video: EDMO Tv
 
Back
Top Bottom