Nyuso zimekosa 'matumaini' na zimekata tamaa'.View attachment 1571238
Muache kumfananisha JPM na utopolo, mwambieni kibaraka apambane time approach to zero....
Hapana,huko Bunda aliwaambia barabara hakupeleka kwasababu walichagua upinzani!Ndo utani wa siasa mwisho wa siku akipata urais lazima wote atuhudumie maana wote tunalipa kodi.
Ha Ha Ha Mbona nae anasemekana ......ni utopolo tu kama si zaidi.Muache kumfananisha JPM na utopolo, mwambieni kibaraka apambane time approach to zero...
Nikweli hoja iko kidesign maana Ubungo ni jimbo la Chadema lakini Flyover - Ubungo Interchange ya gorofa imewekwa hapo. Maendeleo hayana chama.Kodi zao nazo azikatae au azipeleke kwa hapo wabunge wao au madiwani wao.
Hiyo ni dhuruma.
Naamini ni mbinu za kuwapa motisha jamaa wamchague tu vinginevyo asingejenga daraja LA ubugo maana hapo napo ni kwa upinzani
Ndo utani wa siasa mwisho wa siku akipata urais lazima wote atuhudumie maana wote tunalipa kodi.
Unaishi wapi hapo mkuu, labda wewe ni famil friend ya Tl..... Na hata hivyo, mbona Mioyoni mnakitu chenye uhalisia?Magufuli uwe unaaga wananchi kabisa huu wakati wa kampeni. Huku kitaa watu hawana tena time na TV. Hotuba za Tundu Lissu ni kama taarifa ya habari hutaki kuikosoa. Tunakopeshanaehela za kununua smart phones.
Akili za manyumbu bhana!!! Umeandika nini sasa hapo!!Akuhudumie kwani mumeo?
Kwani washabiki na wapenzi wa mapenzi ya jinsia moja wako wangapi hadi Lissu ashinde!!?Magufuli uwe unaaga wananchi kabisa huu wakati wa kampeni. Huku kitaa watu hawana tena time na TV. Hotuba za Tundu Lissu ni kama taarifa ya habari hutaki kuikosoa. Tunakopeshanaehela za kununua smart phones.
Nani asiyependa kumuona Diamond na Ali kiba?View attachment 1571238
Muache kumfananisha JPM na utopolo, mwambieni kibaraka apambane time approach to zero....
Smart Phones zanini hatutaki maendeleo ya vituMagufuli uwe unaaga wananchi kabisa huu wakati wa kampeni. Huku kitaa watu hawana tena time na TV. Hotuba za Tundu Lissu ni kama taarifa ya habari hutaki kuikosoa. Tunakopeshanaehela za kununua smart phones.
hebu tuwekee na list ya wasanii waliopanda jukwaaniView attachment 1571238
Muache kumfananisha JPM na utopolo, mwambieni kibaraka apambane time approach to zero....
Watu wa Chato hawana majiSmart Phones zanini hatutaki maendeleo ya vitu