Mgombea wa CCM Dokta Magufuli na yeye sasa amebadilisha gia angani

Hata ile mikoa ambayo hakupata kura alipeleka maendeleo.
 
Kodi zao nazo azikatae au azipeleke kwa hapo wabunge wao au madiwani wao.

Hiyo ni dhuruma.
Naamini ni mbinu za kuwapa motisha jamaa wamchague tu vinginevyo asingejenga daraja LA ubugo maana hapo napo ni kwa upinzani
Huyu rais ni debe shinda tu. Halafuhatumii akili hata kidogo. Wananchi wakikataa au kuwa usumbufu kulipa kodi itakuwaje?
 
Si wakumtilia mtaani tena huyo, CHIZI MAARIFA.
 
Ubaguzi ni kosa la jinai! Mahali popote haki huinua taifa, Hatuwezi kamwe kuenzi misingi ya umoja wa kitaifa kama tutapandikiza aina yoyote ya ubaguzi. Ili kutokomeza hili tunahtaji kuchagua kiongozi wa kuliunganisha taifa na si wa kuligawa!
 
Kikubwa ni kuwasikiliza wananchi wanataka nini.
Awaachie wao Maana hii ni fursayao kuchagua.

Aache USE.
 
As a nation we have a problem of lacking natioal vision, we are living on the shadow of the politicians.


Wanasiasa wanadhani kuwa
maendeleo ni hisani yao kwa wananchi.


Tuna viongozi wa ajabu sana.
 
Nikweli hoja iko kidesign maana Ubungo ni jimbo la Chadema lakini Flyover - Ubungo Interchange ya gorofa imewekwa hapo. Maendeleo hayana chama.
Hii ndio itakuwa hotuba yake wakati anaomba kura sehemu hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…