Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
Kapata alichokuwa anatafuta,hapa TZ wanaogombea ubunge wanatafuta ngawira na sio kwa ajili ya kuwatumikia wananchi,ndio maana kwa sisi wengine siasa ni "taaluma ya kihuni''abadani siwezi nikawa mwanasiasa hasa wa pande hii ya TZMgombea wa ubunge wa Jimbo la Singida Magharibi, kwa tiketi ya Chadema Elisha Nkhambaku amerudi tena CCM baada ya kufatwa na uongozi wa juu wa CCM ukimsihi arudi CCM ambako alijiengua baada ya kushinda kwenye kura za maoni na NEC kumuengua kwenye kinyanganyiro hicho.Elisha ambaye alikuwa amejiunga na Chadema ili kugombea kwenye Jimbo hilo la Singida Magharibi amejitoa Chadema baada ya kupewa million 60 na kuahidiwa u-DC kwenye jimbo jipya...
Source: Zimetoka kwa mtu wakaribu sana ambaye alikuwa ni mmoja ya watu waliomfuata Elisha.
Ina sikitisha sana kuona tanzania haina viongozi wenye uchungu na nchi yao, wengi wao wanaingia kwenye siasa kimaslahi zaidi.Hao ndio viongozi wetu. Wanafuata harufu ya pesa!
Tanzania tuna safari ndefu sana hasa ukizingatia tunaongozwa na serikali ya CCM ambayo imejaza wezi wa rasilimali zetu, hivyo wanakuwa makini sana ili upinzani usijepata nafasi ya kuingia Ubungeni kwa wingi ili waweze kuendela kula kiulaini.Kapata alichokuwa anatafuta,hapa TZ wanaogombea ubunge wanatafuta ngawira na sio kwa ajili ya kuwatumikia wananchi,ndio maana kwa sisi wengine siasa ni "taaluma ya kihuni''abadani siwezi nikawa mwanasiasa hasa wa pande hii ya TZ
Tanzania tuna safari ndefu sana hasa ukizingatia tunaongozwa na serikali ya CCM ambayo imejaza wezi wa rasilimali zetu, hivyo wanakuwa makini sana ili upinzani usijepata nafasi ya kuingia Ubungeni kwa wingi ili waweze kuendela kula kiulaini.
Ndio nina uhakika na chanzo hicho na hili siyo jambo la kujificha.. Kwa maelezo zaidi soma Gazeti la mwananchi la leo limeandika kuhusu Elisha kurudi CCM.=======
Lakini Mganyizi una uhakika na chanzo chako hicho? Peleleza vema maana Elisha alikataa kata kata alipofuatwa hata kabla ya kuchukua fomu, na walidiriki hata kumpa 100 Mil akawatishia kuwaitia Takukuru.
Haaaa sasa Uongozi wa CHADEMA KAMA UNAWEZA UTEUE MWINGINE Alaaa haya makapi sasa yanatutokea puani:confused2:
Nilisema hapa CHADEMA wasichukue makapi ya CCM, yatawatokea puani. Watu wakasema ooooh, aaaah.
Sasa mnayaona. Na bora hata huyu karudi CCM kabla ya uchaguzi, kuna wengine watabaki upinzani na kuuhujumu upinzani huu huu bungeni.
CHADEMA wajitahidi kutumia Intelligency yao au PCCB kuangalia accounts zake kama atakuwa ana cash kubwa ya ghafla na pia kufuatilia baada ya uchaguzi..
Kama kuna ushahidi wa namna yoyote, waende mbele ya vyombo vya sheria
CHADEMA wajitahidi kutumia Intelligency yao au PCCB kuangalia accounts zake kama atakuwa ana cash kubwa ya ghafla na pia kufuatilia baada ya uchaguzi..
Kama kuna ushahidi wa namna yoyote, waende mbele ya vyombo vya sheria