Mkuu hiyo namba milioni 60 sijui ina nini kwa CCM. Nimeiona na kuisikia sana kwenye siasa za mwaka huu tokea primaries. Watu wa hesabu hapa wanisaidie, ni nini kinatoa hesabu ya milioni 60 kama rushwa wa wagombea ubunge wa mwaka huu?
Good riddance, maana asingewafaa wananchi wa Singida huyu! Sasa CCM si lazima washitakiwe kwa kutoa rushwa na huyu naye, au Takukuru watasubiri Mtikila ashitaki! Maskini hivi Mtikila yuko Huru au anakula dona jela!
CHADEMA wajitahidi kutumia Intelligency yao au PCCB kuangalia accounts zake kama atakuwa ana cash kubwa ya ghafla na pia kufuatilia baada ya uchaguzi..
Kama kuna ushahidi wa namna yoyote, waende mbele ya vyombo vya sheria
Kazi imeshaanza na tutasikia taarifa muda si mrefu,watu wako makini katika kazi yao bana,usicheze na takukuru bana,safari hii wameamua kufanya kazi kwa nia moja.kujisafisha na kujiridhisha kwa wananchi
ili waaminike zaidi.
Duh, ningemwona huyu jamaa ningemrushia hata mawe kupunguza hasira zangu.
Ni kweli ila penye haki ni pale penye mkono mrefu....Nataka kufanya mawasiliano na uongozi wa JF kabla ya upload baadhi ya clip kaadha hivi za maongezi ya hao wakuu wa CCM, kuhusu ili sakata na huyu bw kuhongwa million 60 na kuahidiwa u-DC...Kazi imeshaanza na tutasikia taarifa muda si mrefu,watu wako makini katika kazi yao bana,usicheze na takukuru bana,safari hii wameamua kufanya kazi kwa nia moja.kujisafisha na kujiridhisha kwa wananchi
ili waaminike zaidi.
Kazi imeshaanza na tutasikia taarifa muda si mrefu,watu wako makini katika kazi yao bana,usicheze na takukuru bana,safari hii wameamua kufanya kazi kwa nia moja.kujisafisha na kujiridhisha kwa wananchi
ili waaminike zaidi.
Good riddance, maana asingewafaa wananchi wa Singida huyu! Sasa CCM si lazima washitakiwe kwa kutoa rushwa na huyu naye, au Takukuru watasubiri Mtikila ashitaki! Maskini hivi Mtikila yuko Huru au anakula dona jela!
Mgombea wa ubunge wa Jimbo la Singida Magharibi, kwa tiketi ya Chadema Elisha Nkhambaku amerudi tena CCM baada ya kufatwa na uongozi wa juu wa CCM ukimsihi arudi CCM ambako alijiengua baada ya kushinda kwenye kura za maoni na NEC kumuengua kwenye kinyanganyiro hicho.Elisha ambaye alikuwa amejiunga na Chadema ili kugombea kwenye Jimbo hilo la Singida Magharibi amejitoa Chadema baada ya kupewa million 60 na kuahidiwa u-DC kwenye jimbo jipya...
Source: Zimetoka kwa mtu wakaribu sana ambaye alikuwa ni mmoja ya watu waliomfuata Elisha.
.duh, ndio maana naziogopa siasa za bongo, kwani kule pemba mmoja tu aliwahi kununuliwa Msabah tangu mfumo huu wa vyama vingi uanze