Elections 2010 Mgombea wa ubunge Moro anatoa basi la kwenda kuzikia lakini sio gari la wagonjwa

Elections 2010 Mgombea wa ubunge Moro anatoa basi la kwenda kuzikia lakini sio gari la wagonjwa

shade

Senior Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
155
Reaction score
39
Jamaa ABDULAZIZ ABOOD anashngaza sana huku moro. Yeye anasaidia watu kwenda kuzika kwa kutumia basi lake maalum la Abood. cha ajabu wagonjwa hawapatii msaada wa gari kupelekwa hospitali. ni kampeni za kupata kura za mambumbu.
Ni kweli anamachungu na nguvu kazi au na nguvu mfu?
 
Back
Top Bottom