Elections 2015 Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

P katika huu uzi hujatoa SABABU alizokupa huyo KADA wa CCM kwanini walimchagua Magufuli, japo kuwa hizo sababu zitatusonononesha, zitatusikitisha lakini ni vizuri kama tutazijua..
 
P katika huu uzi hujatoa SABABU alizokupa huyo KADA wa CCM kwanini walimchagua Magufuli, japo kuwa hizo sababu zitatusonononesha, zitatusikitisha lakini ni vizuri kama tutazijua..
Mkuu Chabuso, nilitaja pale kwenye update
P
 
Nyie jamaa mnatusanifu kwenye sanduku la. Kura kumbe mshindi mnamjua
Mkuu Kidadari kumjua mgombea sio kumjua mshindi. Mshindi hupatikani baada ya wagombea kushindanishwa na kupigiwa kura, katika uchaguzi huru na wa haki, anayepata kura nyingi ndiye hutangazwa mshindi.

Hivyo tangu ile 2015 baada ya rais Magufuli kushinda na kutangazwa mshindi, tayari tumeisha jua mgombea wa uraisi kwa tiketi ya CCM kwa mwaka 2020 ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli.

Na kwa vile tangu nchi yetu imepata Uhuru, siku zote, katika chaguzi zote, za vyama vingi, mgombea anayeshinda shinda nafasi ya urais siku zote ni mgombea wa CCM, hivyo rais wetu kwa 2020-2025 tayari anajulikana, hivyo niliwahi kushauri hivi
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? - JamiiForums

Haswa kwa kuzingatia, it has been proved beyond reasonable doubt kuwa CCM itatawala milele
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!. - JamiiForums

Hivyo nimeshauri kwa nafasi ya urais, we can save a lot of time, money and resources, tukiamua rais Magufuli aendelee tuu hadi 2025.
P
 
zirudie hizo sababu mkuu..

karibu sana...
Tuliza kichwa usome taratibu
P
 
Tuliza kichwa usome taratibu

P

Wanabodi

Update: 12/07/2015

Leo hili limetimia ni kweli aliyepita ni Magufuli, nimezitafakari sababu nilizotajiwa ile siku napewa tetesi hii, na kuzipima na hiki kilichotokea, nimejikuta nimelazimika kutoziamini kuwa zile nilizosikia ndizo sababu zenyewe halisi.

Kwa sisi waandishi tuna kanuni ya kuandika only the truth, yaani kuandika nothing but the truth, sasa ili uweze kuandika jambo lolote, ni lazima jambo hili uwe ama umelishuhudia mwenyewe likitokea na ama umeelezwa na trusted sources na kujiridhisha kuwa ni la kweli, ndipo unaliandika.

Ikitokea ukilisikia jambo la mashaka mashaka, unapaswa ulipime kwanza, ujiridhishe na ukweli wake, ukiisha ridhika ndipo uliamini na ndio uliandike.

Kama ikitokea wewe kama mwandishi wa habari, ukasikia jambo lolote ambalo ni la mashaka huliamini, then hupaswi kuliandika, tena hata ikibidi usiliseme wala kuliandika ili lisijulikane.

Hivyo hizo sababu nilizotajiwa siku hiyo napewa tetesi hii kuwa mgombea urais wa CCM atakuwa ni John Magufuli, and why he has to John Pombe Magufuli only and nobody else, kwa sasa mimi siziamini, na kwa vile siziamini, naomba nisizitaje wala nisiziseme kabisa humu.

Hivyo naomba sasa tuchukulie bandiko hili kuwa ni mwana JF mmoja kwa jina la Paskali, nilijiandikia tuu kuwa mgombea urais wa CCM kwa mwaka 2015 atakuwa ni Dr. John Pombe Magufuli, na ikatokea tuu kuwa ni kweli, mgombea urais wa CCM kwa 2015 akawa ni John Pombe Magufuli, yaani I just happened

Nawaombeni sana tuchukulie kupitishwa kwa jina la Dr. John Pombe Magufuli, kuwa mgombea urais wa CCM, has just happened tuu na has nothing to do bandiko hili wala na sababu nilizotajiwa, bali kuhesabike tuu kuwa kumetokea tuu naturally, by chance, bila any pre meditated moves, na hili bandiko lichukuliwe tuu kama just a coincidence, kuwa mwana jf mmoja nilisema mgombea wa CCM kwa mwaka 2015 atakuwa ni John Pombe Magufuli na kweli ikatokea tuu coincidentally, mgombea urais wa CCM kwa mwaka 2015 kweli akawa ni Dr. John Pombe Magufuli.

Kwa mtakaonielewa asanteni kwa kunielewa, na kwa wale ambao ni wazito kuelewa mambo ya kufikirika tuu au ambao msio nielewa poleni na samahanini sana!.

Hongera sana Dr. John Pombe Joseph Magufuli kwa kuteuliwa kuwa mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi, CCM.

Paskali

Mkuu sijaona mahali umezitaja hizo sababu zaidi ya kuzungumzia taaluma yako...

Karibu...
 
Hapa WIZI UBADHIRIFU KUGOMEA UKAGUZI KUZUIA IMF KUCHAPISHA REPORT ZAO. Wizi na ubadhirifu wa kutisha mbele kwa mbele.

 
Paschal hujatenda haki kutozitaja hizo sababu? Ungeweza kuzitaja na ungeweka kinga kwamba ni maoni yako binafsi, ingawa mimi pia nazijua baadhi ya sababu kwa nini ni yeye
 
Mie si niliyeandika mie ni mjumbe tu. Unadhani angekuwa na mazuri yasingewekwa? Kuna zuri lolote la MUUAJI, mwizi, fisadi, muongo, anayedharau katiba, Bunge, mahakama, Watanzania, ofisi ya CAG, mtesaji na mtekaji!?

Kama lipo hata moja hebu tuwekee.


 
Mie si niliyeandika mie ni mjumbe tu. Unadhani angekuwa na mazuri yasingewekwa? Kuna zuri lolote la MUUAJI, mwizi, fisadi, muongo, anayedharau katiba, Bunge, mahakama, Watanzania, ofisi ya CAG, mtesaji na mtekaji!?

Kama lipo hata moja hebu tuwekee.
Utakuwa ulitumbuliwa kwa kama si vyeti fake basi uvivu wa kufikiri
 
Kwa akili yako fupi kwamba kila anayemkosoa huyo nduli, dikteta na MUUAJI basi anahusika na kupigwa na maisha kutokana na maamuzi ya dikteta. Maisha yangu si haba namshukuru Mwenyezi Mungu kila siku iendayo kwake lakini hiyo si tiketi ya kukaa kimya huku nikiona huyo mwendawazimu anaiangamiza Tanzania. Jiongeze achana na UKAMONGO!

Utakuwa ulitumbuliwa kwa kama si vyeti fake basi uvivu wa kufikiri
 
Utakuwa na maisha ya kwenye movie tu, uhalisia ukijikuna unatoa unga.
Wenye maisha yao hawamo humu na kama wamo hawasemi kama unavyobwabwaja wewe. Tulizana mkuu, Magufuli ndo presedent. Mihasira yako haitomtoa madarakani. Kama umelipwa kwa hiyo kazi pasi kujua basi nyamaza.
Huyo trump anaekuinamisha aliingiaje madarakani? Kashfa na vibweka debe lakini huwezi kukosoa zaidi ya kushangilia upuuzi kwa sababu tu ni USA.
Mmefundishwa kuwa Magufuli hafai basi mnaimba kama kasuku.
Unaishi wapi mkuu? Kama ni hapa Tz ni kweli Magufuli hana jema hata moja? Au unajisahaulisha na kuona hayo unayoropoka? Kuwa mstaarabu japo kidogo kwa kusema hili amekosea na hili ni zuri.
Eti hakuna jema hata moja. Ila mbowe ndo kiongozi bora. Pole kwa upofu na ukiziwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…