Elections 2015 Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

Mhhhhh!!!!
 
mkuu pasco, nmejaribu kutafakari sana possibilities ya hizo sababu ila naomba kuuliza, JE UDINI(UONGOZI WA KANISA)unaweza ukawa katika mstari!? i dont think ni coincidences sana kwa magufuli na nyerere to have almost many similarities katika hili.. Plus nimewahi sikia tetesi katika hili japo sijawahi kupata wasaa wa kuzihakiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au wewe ni mhanga wa magufuli? maana jamaa ameumiza wengi,ukianzia waliojimilikisha magari ya umma,njoo kwa wezi wa viwanja, malizia na samaki alizozikamata na meli ikazama.
Kimsingi tunamhitaji heri alaumiwe kama nyerere lkn nchi isonge mbele
Kwani baada ya kuyafanya haya yote wananchi wamenufaika vipi kwa hayo !?
 
Yaani haya maneno umeyakana

Nyie ndio "waganga njaa " mnaopata ulaji wenu kwa kudanganya aliowasema JK



Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Tena ni fisadi mkubwa, alikuwa mstari wa mbele akishirikiana na fisadi Mkapa katika ukwapuzi wa nyumba zenye thamani zaidi ya trillion za Serikali....Hafai kabisa huyu fisadi.
Hii inaitwa consistency

We jamaa salute Sana

Msimamo mwanzo mwisho

Mleta mada kajaa maunafiki hatari

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Shukrani sana Mkuu. Katika hii mijadala inayohusu nchi yetu au hata katika maisha yetu ya kila siku CONSINSTENCY ni kitu muhimu sana kuwa nacho ukiyumba tu basi hata mwenyewe unaanza kujishuku, ndugu, jamaa na marafiki pia wanaanza kukushuku yule jamaa haeleweki hana msimamo leo atakwambia hivi kesho atakwambia kitu tofauti kabisa.
Hii inaitwa consistency

We jamaa salute Sana

Msimamo mwanzo mwisho

Mleta mada kajaa maunafiki hatari

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Pascal Mayalla alichokisema Kikwete jana kina ukweli?Kwenye hizo sababu ambazo hukuziweka wazi,mzee wa Msoga alikuwemo?
Nadhani baada ya JPM, kupumzishwa rasmi kwenye nyumba yake ya milele, ni busara akiachwa apumzike kwa amani na wastaafu wakaachwa wastaafu kwa amani.
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
P
 
Nadhani baada ya JPM, kupumzishwa rasmi kwenye nyumba yake ya milele, ni busara akiachwa apumzike kwa amani na wastaafu wakaachwa wastaafu kwa amani.
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
P
Nyerere mpaka leo watu wanaandika vitabu na kumjadili.

Ukitaka uachwe usijadiliwe, usigombee uongozi wa umma.

Ukigombea uongozi wa umma watu watakujadili maelfu na maelfu ya miaka.
 
Hii ndio thread iliyokufanya usipate hata u DC
 
Nyerere mpaka leo watu wanaandika vitabu na kumjadili.

Ukitaka uachwe usijadiliwe, usigombee uongozi wa umma.

Ukigombea uongozi wa umma watu watakujadili maelfu na maelfu ya miaka.
Kuna tofauti kati ya Wazungu na sisi Waafrika. Kiafrika mtu akifa na kuzikwa anaachwa apumzike, hata kumzungumza kwa ubaya hairuhusiwi ila mazuri na mema yake ndio yanazungumzwa. Kwa vile ni jana tuu amepumzishwa, mwili bado ni mbichi kabisa, give time watu wapoe poe machungu ya msiba.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…