Elections 2015 Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

Hapa ndipo mnapodanganya watu. Eti ' Alishachaguliwa na usalama wa Taifa'. Poor we Tanzanian tusiojua hata maana na Majukumu ya System.

Nadhani Upatikanaji wa Rais ni Mchakato wa Chama husika.Bila shaka Kazi ya kitengo through vetting ni kushauri in case candidate ana athiri usalama au Maslahi ya nchi.

Ulichoandika kana kwamba Idara ilichukua jina na kumuambia Kikwete na CCM kuwa huyu ndiye anafaa.
 
Afu amini hakuna Usalama wa Taifa unaochagua Presda bali kuna kikundi cha madini wachache sana na wenye nguvu mno ndo hufanya kazi hiyo wakati ukifika hao TISS ni pambo tu
 
Leo Machi 17 ambayo ni Magufuli Day, nadurusu baadhi ya mabandiko yangu humu kumhusu JPM huku nikitafakari, if I was right or I was wrong.
Kwa vile kila zama na zama zake, Pumzika kwa Amani Magufuli wetu huko ulipo.
RIP JPM
Paskali.
 
Niambie Mkuu anaekuja mwakani ni nani!!?
 
Leo Machi 17 ambayo ni Magufuli Day, nadurusu baadhi ya mabandiko yangu humu kumhusu JPM huku nikitafakari, if I was right or I was wrong.
Kwa vile kila zama na zama zake, Pumzika kwa Amani Magufuli wetu huko ulipo.
RIP JPM
Paskali.
Hongera mkuu kwa kuona mbali sana, nakumbuka ulivyomchonoa kwa kwa kuhoji kuhusu kutenganisha mihimili ,akaonyesha rangi yake mapema sana.
Amefanya mengi mazuri na mengi ameharibu .
Alale salama
 
Sijawai kuuona weledi wa kazi yako. Huna tofauti na TBC.
Sijawahi kuuona ukweli wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Los técnicos , Kwa vile mimi ni mwana habari, kazi yangu rasmi ni uhabarishaji umma, weledi wa kazi yetu ni kutoa tuu taarifa za kweli, yaani truthfulness, with objectivity, impartiality and balance.

Ukweli ni hayo ninayo yaripoti humu yanapokuja kutokea ukweli. Mfano mzuri ni hili la mgombea urais wa CCM wa 2015 nililoripoti humu limekuja kutokea kweli.

P
 
Pascal Mayalla leo ni zaidi mwaka Magufuli hayupo duniani, je unaweza kutuletea list ya hadhara aliyosababisha kwa taifa hili kwenye uongozi wake wa miaka 5?

Miradi uliyoiponda kama SGR, ununuzi wa ndege bado inaendelea vilevile.
 
Kitu muhimu sio hiyo miradi ipo ama haipo, au inaendelea au haiendelei bali nilipoiponda, niliiponda kwa hoja gani na hicho nilicho ponda jee ni kitu cha kweli au niliponda kwa chuki tuu?.
Subirieni hii the biggest white elephant SGR aanze kutafuna operating cost kama anavyotafuna ATC, ndipo tutakumbushana.
P
 
Iweje nchi nyingine SGR isiwe big white elephant project alafu Tanzania iwe white elephant project?

Iweje nchi zingine shirika la ndege lifanye vizuri ila ATC isifanye vizuri? Unataka kutuambia Tanzania hamna haja ya kuwa na ndege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…