Elections 2015 Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

Iweje nchi nyingine SGR isiwe big white elephant project alafu Tanzania iwe white elephant project?
Kuhusu why SGR yetu might be a big white elephant, karibu mitaa hii, Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta...
Iweje nchi zingine shirika la ndege lifanye vizuri ila ATC isifanye vizuri? Unataka kutuambia Tanzania hamna haja ya kuwa na ndege
Kwenye ATC tatizo ni management, kikawaida unaanza na business plan ndio kisha unanunua ndege. Not the other way.
P
 
Hapa nilitajiwa sababu
Na mbaya zaidi kaanza kuwa "prophet of doom" he always wishes doomsday to come in Tanzania for his devilish foresight about someone the "damned"

Na wote tuseme Amina ,
Mkuu The imp, kuna kitu umekisema hapa, Pascal Mayala kazeeka haoni mbele tarehe 25 mwezi 9, mwaka 2019 kunihisu mimi, halafu kilikuja kutokea kweli!. Nikisoma hapa ulisema nini kunihusu na nikipima na kilichokuja kutokea, kiukweli, naanza kujiogopa!.
Nakupitisha kwenye baadhi ya mabandiko yangu uangalie tarehe ya mabandiko hayo, nilisema nini lini na nini kimekuja kutokea kuhusu hicho nilicho kisema!.

The most powerful thing in this world is the power of will!.
Japo kuna msemo kuwa kauli huumba, kumbe kiukweli, kinachoumba sio kauli, bali the will ikiyoko ndani ya hiyo kauli.
If the will is strong enough, you can wish anything and it will happen or materialize!

P
 
Uzi wa mwaka 2012 💯💯...alafu kuna mtu anajiita paschal mayala anadai eti yeye ndio alitabiri Magufuli atakua Rais kwenye thread aliyoiandika 2014😂😂
Mkuu masare, nitake radhi!. Maudhui ya uzi huu sio nani atakuwa rais wa Tanzania 2015, bali tutatawaliwa kidikiteta 2015 bila kumtaja specifically rais wetu atakuwa nani.

Mimi bandiko langu hili Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli sio la utabiri, sio la ubashiri, sio guess work, ni info pack!, nimeambiwa na mtu from deep inside!.

Katika bandiko hili langu, nime copy kitu gani kutoka bandiko hili Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

la Mkuu MAGAMBA MATATU?.
P
 
Hivi ulishwaziwekaga Mkuu?
 

Moja kati ya maandiko yako bora kabisa
 
Mkuu Pasikali, kweli wewe ni mtu na nusu, ulitisha sana kwenye hii thread na ingefaa upewe tuzo.
Nje ya Mada vipi changamoto ya kupata mtoto uzeeni unaonaje unazimudu?
 
Mkuu Pasikali, kweli wewe ni mtu na nusu, ulitisha sana kwenye hii thread na ingefaa upewe tuzo.
Mkuu Kadhi Mkuu 1 , thanks for this!, mtu ukifanya jambo jema la kustahili tuzo, then utapata tuzo, hata kama waliopo hawakuthamini, wanakupuuza na kukudharau, lakini mwisho wa siku, utapata tuu tuzo yako kupitia karma, hivyo tuzo yangu ipo njiani inakuja.
P
 
Hivi ulishwaziwekaga Mkuu?
Pascal Mayalla tunaomba utuwekee hizo sababu, maana ahadi ni deni.
Wakuu imhotep na Sexless hizo sababu nilizipotezea na kutoa sababu kwa nini niizipotezea na kutoa sababu ya kuzipotezea!.
Kwa mfano ukikutana na Sangoma fulani, akakuambia watu wa Tanga, Zanzibar na Sumbawanga kwa uchawi ni hatari!, yule nanilii kwao ni wachawi sana, kupitia TV zao za kisangoma, alimshuhudia yule nanilii akimroga yule naniliu ili kwa kumtupia majini, wakamue ili yeye ndio awe!.

Baada ya muda kweli naniliu akaanza kuugua ikafanywa siri!, hospitali kila wakipima hawaoni kitu!, mwisho wa siku jamaa kakabwa na hatimaye akachomoka, yaani akavuta! na kweli yule nanilii akawa!.

Jee wewe ndio ungekuwa ni mwandishi wa habari hii story ungeiandika?.

P
 
Mkuu Pasikali, kweli wewe ni mtu na nusu, ulitisha sana kwenye hii thread na ingefaa upewe tuzo.
Mkuu Kadhi Mkuu 1 , thanks for this!, mtu ukifanya jambo jema la kustahili tuzo, then utapata tuzo, hata kama waliopo hawakuthamini, wanakupuuza na kukudharau, lakini mwisho wa siku, utapata tuzo yako kupitia karma, hivyo tuzo yangu ipo inakuja.
P
 
Mkuu Pasikali, kweli wewe ni mtu na nusu, ulitisha sana kwenye hii thread na ingefaa upewe tuzo.
Nje ya Mada vipi changamoto ya kupata mtoto uzeeni unaonaje unazimudu?
Ni moja kati ya watu ninaowaheshimu sana hapa jukwaani kwa michango yake, Pascal Mayalla ni mmoja ya watu wenye mchango mkubwa sana anastahili heshina yake.
 
Kidogo nilipata madokezo kama hayo
Hapa ndio nilimwita Magufuli bulldozer kabla ya mtu yeyote Tanzania

Lakini watu wanaomfahamu wanamuonaje Magufuli kama Raisi? Wengi wanaona Tanzania ilipofikia inahitaji raisi kama Magufuli - namna fulani ya bulldozer ambalo linatumia nguvu bila kuangalia lojiki. Hata hivyo, wengi wana wasiwasi sana na influence ya Mkapa kwa Magufuli - kwamba itakuwa kama Mkapa karudi kwenye uraisi, na wengi hilo hawalitaki.
 
Kama nilivyokuelewa ndivyo ulivyomaanisha basi hapa lazima Pascal utakuwa umebeba siri nzito sana..
 
Kama nilivyokuelewa ndivyo ulivyomaanisha basi hapa lazima Pascal utakuwa umebeba siri nzito sana..
Mkuu St. Paka Mweusi , this is just an hypothetical situation and not real!. Nimetolea tuu mfano wa mtu kujisemea tuu jambo halafu likaja kutokea kweli but in realty halikupangwa limetokea tuu.

Mfano siku ile mtu alipozungumzia dhana ya usaliti na akasema "kuna mtu simu tumeitrap, mara anaulizia hivi mara vile, tunamuangalia tuu, that is the government, mtu msaliti hawezi kuachwa hivi hivi aka survive tuu!". Siku mbili tatu baada ya kauli hiyo, zikatokea zile pyu pyu kwa huyo jamaa!. Watu waliosikia wanaweza kudhani ni premeditated events kumbe ni an isolated events hazihusiani!.

Hivyo usiwe na wasiwasi wowote, mimi sina siri nzito yoyote, ila kuna watu wana siri nzito ya kilitokea nini, Watanzania tumekuja kujulishwa siku kadhaa baada ya kutokea kilicho tokea na kuelezwa kuwa ndio kimetokea!.
P
 
Hapa ndio nilimwita Magufuli bulldozer kabla ya mtu yeyote Tanzania
Mkuu Synthesizer naomba link yako kuona wewe ulimuita lini, mimi hilo neno nililiona jarida la The Economist na ililetwa humu jf na mkuu Geza, Geza Ulole kwenye uzi huu Tension between Tanzania's 'bulldozer' president and opposition
Alisema
Mimi nami nikauliza Watanzania kwanini tunakubali Rais wetu adhalilishwe na media za nje kwa kuitwa "The 'Bulldozer' Tanzanian President"?
Lakini watu wanaomfahamu wanamuonaje Magufuli kama Raisi? Wengi wanaona Tanzania ilipofikia inahitaji raisi kama Magufuli - namna fulani ya bulldozer ambalo linatumia nguvu bila kuangalia lojiki. Hata hivyo, wengi wana wasiwasi sana na influence ya
Yes ni kweli na hili tulilisema pia Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania ilihitaji Dikiteta, tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!
P
 
Mkuu Paskali, nilianza kumuita Magufuli kuwa ni buldozer toka mwaka 2013, na post nyingi nilizoweka baada ya hapo nilim-refer hivyo. Sasa sijui kama zilikuwapo zilizomuita hivyo kabla yangu. In fact, kwenye hiyo post ya 2013 (Baraza la Mawaziri nani atoke, Nani Abaki), ni kama nili-prophesy namna ya kiongozi Magufuli atakuwa, japo wakati huo tulikuwa tukimwongelea katika context ya U-PM. See below
  1. Baraza la Mawaziri: Nani atoke, Nani abaki, Nani aingie?

  2. Magufuli ni Mgombea urais ambaye atapata kura bila CCM kutumia mabilioni

  3. Sasa naona wazi kwamba Prof. Mwandosya ni tofauti sana na wengine
  4. Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…