Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 697
- 1,358
Miezi michache mwaka huu Nchi yetu inaingia Kwenye Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani.
Sioni mgombea wa kufua Dafu kwenye kinyang'anyiro cha Rais zaidi ya mgombea kutoka Chama Tawala Dr John Pombe Magufuli.
Naamini wananchi watampa ridhaa tena ya kutuongoza kwenye awamu ya pili kwa mambo lukuki ambayo ametekeleza kwenye awamu yake ambayo inaisha muda si mrefu.
Kama ingekuwa amri yangu basi Dr John Pombe Magufuli apitishwe kuwa Rais tu bila kupingwa na tuende kwenye Uchaguzi wa Wabunge na Madiwani tu.
Ukweli mchungu lakini huu ndio uhalisia hakuna mgombea yoyote wa kuchuana na Dr John Magufuli kwenye Uchaguzi mwaka huu.
YA BISO CANDIDAA DR JOHN POMBE MAGUFULI
NZAMBE ATINO YO
BELELA!BELELA NA KOMBO YA MAGUFULI
#JPM KIOO TUELEKEACHO 2020
Alex Fredrick
Dar es salaam