That's democracyWastage of resources!!!
That's democracy
Maganja ni yupi hapo
And a waste of time at that...Wastage of resources!!!
Alitoa kauli gani mkuu ujuwe si wote tuliisikia..ni huyo mwenye kofia.
..kabla ya kujiunga nccr alikuwa act.
..na alipoondoka act alitoa kauli ngumu sana dhidi ya Zitto Kabwe, na kundi la kina Maalim.