VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Je,ni haki kwenye mgomo ulihusisha Chuo kizima adhabu ya kufunga ikatolewa kwa Koleji moja tu ya Uhandisi? Wengine wameridhika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Coet kama sijakosea wao waligomea baada ya mwenzao mmoja kudaiwa kukamatwa na desa hivyo kwa mujibu wa sheria za chuo alikuwa ameingia na unwanted materials hivyo anastahiki kudisco. Hivyo wanachuo wenzake waligoma kwa muda wa siku tatu hali iliyopelekea kufungwa chuo hicho baada ya juhudi za kuwashawishi wanachuo hao kuwa hakuonekana kugonga mwamba.
Habari hii ni kwa mujibu wa chanzo changu kilichopo hapo UDSM.