wanafunzi mwaka wa 3 wamegundua wanadaiwa mapesa ambayo walipaswa kuwa wamelipiwa na bodi ya mikopo.bodi wanasema bajeti imepita,lakini watu waliopaswa kulipiwa hawajalipiwa.implication ni kwamba wakishamaliza chuo hawana nguvu kisheria kudai bodi na chuo hakitambui mkataba kati ya bodi na mwanafunzi.so watalazimika kulipa wao ili wapate vyeti,wakati huo pesa ambazo hazikulipwa,watakatwa kwenye mishahara yao.so kifupi fedha yao imeliwa au na bodi au chuo na watalipa mara mbili pesa ambayo hawakutumia.