General mex
Senior Member
- May 1, 2011
- 158
- 185
Baadae asubuhi tunasubiri tu, haki ya wenzetu walionyimwa mkopo itapatikana tu hata kama ni kwa njia isiyo sahihi.
where z ma nigga senetor!
am here meen!!uko wap wewe?
Pinda amesema anapata tabu sana na maandamano sasa nyinyi mnataka mzee wa watu apandwe na pressure?
Sooolidarity...kunji kunji kunji! hii verse naifeel si utani mpaka natamani siku moja nirudi hapo
am here meen!!uko wap wewe?
where z ma nigga senetor!
senetor jana nimempigia, akaniambia nimsubri mabibo block G, mpaka sasa hivi kimya...