Mgomo(maandamano) Udsm.

andamaneni mpewa huo mkopo ni kodi zenu hizo msikubari mpaka kieleweke.
ni kweli mkuu yaani mimi hii PAYE wanayonikataa nikiona wanavyonyasa ndugu zangu huwa napata hasira sana agrrrrrrrrrrrrhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Tupeni update nyie, au mmegwaya? Nazikumbuka enzi za Owawa, Machibya na Silinde, ilikuwa mwendo mdundo.
 
updates? raia wamepigwa na wengine wamekamatwa...
 
Raia ka 100 hvi wamekamatwa na mapongo.over
 
Tusikubari haya mambo yazimwe kiurahisi mpaka madai yetu yakubarike.Hatuwezi kusoma kwa shida za kupiga pasi ndefu njaa kali huku wizara imetengewa mabilioni ya ela kwa ajiri ya ziara na posho zisizokuwa na tija,WATOE MIKOPO AU WARUDISHE UTARATIBU WA ZAMANI.OVER.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…