Mgomo Madaktari Kenya wamalizika

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Habari Njema kwa wananchi wa Kenya baada ya mgomo wa madaktari nchini humo uliodumu kwa takribani siku mia moja kumalizika leo.
 
Maliza taarifa wamepewa walichokua wanataka au umemalizika vipi?
 
Huu mgomo haungekuwa mrefu hivi, ila Wakenya kujitia kujua mambo zaidi ya vichwa vyao, yaani mahakama, wanasiasa, madaktari, wizara ya Afya na wizara ya Wafanyi kazi na SRC kila mtu anafafanua katiba kivyake!! Hili jambo lichunguzwe ili kuepuka hali kama hii siku sijazo
 
Ah! Bora usingeleta habari ambayo hata wewe huijui vzr...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…