Wanafunzi wa chuo cha st.Joseph college songea wamegoma kwa kudai kurudishwa kwa viongozi wa wanafunzi waliosimamishwa masomo,pia wanadai wahindi wanawanyanyasa.
Mgomo hadi jioni hii haujapata mwafaka kwa hiyo bado kesho wataendelea na mgomo.
Hili ni tatizo ktk vyuo vyetu vya Tz!serikali imewaacha wanafunzi!imewatelekezakabisa na wenye chuo hufanya kama wanavyotaka!hata chuo cha saut-tabora manyanyaso ni hayohayo!
safi sana hao wahindi nasikia wanawafinya si muwapige na misharubu yao kwao maskn sana hafu na nyie arusha mnang'aa macho watawachapen fimbo hata hela hamjapewa nyie ni siro kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.