hao wazee ndo magamba yenyewe hayo,,wanaringa na vimishahara vyao vya diploma vya lakilaki wanajiona wana hela sana,,,hata wakiwa makazini migomo ya ualimu ambayo mkoba kila cku anawatangazia hawashiriki,,,wezi wa kesho wakipata nafasi kwani hawatafikiria wanyonge,,,Kuna kila dalili ya mgomo kwa wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma hasa kolege ya education hapo kesho kutokana na kutokupewa fedha zao za kujikimu hadi hivi sasa.Ni takribani wiki mbili hivi sasa tangu chuo kilipofunguliwa lakini hawajapewa fedha zao za kujikimu hadi hivi sasa.HATA HIVYO PAMETOKEA KUTOKUELEWANA KATI YA WANAFUNZI WALIOTOKA MAKAZINI NA WANAFUNZI WENGINE KWANI WALIOTOKA MAKAZINI WANAUPINGA VIKALI MGOMO HUO.
Source mimi mdau udom.
Safi kabisa! Tesekeni hadi mtakapopata akili na kuacha ushabiki wa Yanga na Simba katika siasa! Mnapiga kura kama vipofu, halafu mnalalama kama kama vichaa!Kuna kila dalili ya mgomo kwa wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma hasa kolege ya education hapo kesho kutokana na kutokupewa fedha zao za kujikimu hadi hivi sasa.Ni takribani wiki mbili hivi sasa tangu chuo kilipofunguliwa lakini hawajapewa fedha zao za kujikimu hadi hivi sasa.
HATA HIVYO PAMETOKEA KUTOKUELEWANA KATI YA WANAFUNZI WALIOTOKA MAKAZINI NA WANAFUNZI WENGINE KWANI WALIOTOKA MAKAZINI WANAUPINGA VIKALI MGOMO HUO. Source mimi mdau udom.
Leo ndo umegundua?si huwa unawatetea magamba?Management ya udom ni wajinga.
Management ya udom ni wajinga.
na bado..walimchangia fomu jk.
Ni kweli nawataona tamu na chungu ya kihehere chao
muulizeni shemeji yenu mama rizimoja
kama na yeye hajapewa hiyo pesa ya kujikimu
tena asikosekane kwenye maandamano