Alphonce Lusako
Member
- Aug 31, 2011
- 35
- 27
Inawezekana wewe siyo binadaamu labda ni jini. Yaani hauna udugu na binaadamu. huna wadogo binaadamu wala watoto, ila huwa unakuja kutembea tu duniani.mtaipata habari yenu
Hasira za wasomi zawaka udsm.
Kesho ni mgomo wa wanafunzi wa chuo kikuu cha dar es salaam dhidi ya utawala wa chuo hicho kuwataka wenzao 48 waliofukuzwa chuo kwa sababu ya mgomo uliofanyika tar 11-11-2012 kuwatetea wanafunzi ambao hawakudhaminiwa mikopo.
Mungu ibariki tz, mungu nibariki udsjm.
kama nyie ni wanaume kweli gomeni mpaka siku 3 alafu chuo kifungwe

Mnaogopa mitihani. Kwa nini kila inapokaribia mitihani ndipo migomo inapamba moto? Hamjui ku-negotiate mpaka kila issue muingie mitaani? Mnajikomesha wenyewe na siyo Mukandala. Mtarudia miaka, kufukuzwa, kurudia mitihani, kunyimwa mikopo. Anayeathirika si Mukandala vijana.Tanzania bila mgomo haiwezekani
kama nyie ni wanaume kweli gomeni mpaka siku 3 alafu chuo kifungwe
Mnaogopa mitihani. Kwa nini kila inapokaribia mitihani ndipo migomo inapamba moto? Hamjui ku-negotiate mpaka kila issue muingie mitaani? Mnajikomesha wenyewe na siyo Mukandala. Mtarudia miaka, kufukuzwa, kurudia mitihani, kunyimwa mikopo. Anayeathirika si Mukandala vijana.