joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Operation kubwa ya kusimamisha moyo kwa masaa kadhaa bila kumuongezea mgonjwa damu.Am trying to imagine muhimbili national hospital iingie kwenye mgomo [emoji44][emoji849]
National hospital kubwa ukanda huu ambayo ni kimbilio la mataifa yote ywnayotuzunguka,?
Hii national hospital yao haina tofauti na dispensary moja huko itigi kwa hiyo haina madhara hata wakigoma mwaka. [emoji28][emoji28][emoji28]
Mungu fundi sanaMY TAKE: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakenya ni watu wa ajabu Sana, ni watu wabinafsi Sana.Mungu fundi sana
walizusha Tanzania watu wanakufa mitaani kwa corona,leo watu wao wanakufa kama panzi kwa migomo tu