City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Sasa mkuu hao jamaa mpaka wanachukua pesa na kusambaza hizi taarifa hamko informed?Maofisa wa latra tuko hapa, kama unataka kufutiwa leseni yako, jaribu kuacha kutoa huduma kwa wananchi uone, tutalala nawewe mbele mapema tu, ni onyo tunatoa, Msijaribu...
Duhh.. Mgomo sio kabisa
Ndio unaendelea sasaDuhh.. Mgomo sio kabisa
Hii nchi shida sana.Hali ni mbaya sana nimeshuhudia bajaj za mizigo zikibeba abiria kupeleka mjini na wanafunzi wakirudi majumbani kwao, daladala zote zimegoma ukiikuta barabarani imewasha double hazard, haiendi.
Hakuna tamko lolote kimya tu.