Yule waziri wa Mabando je? Ambaye ndio jimbo lakeYericko Nyerere saidia kutafuta ufumbuzi!
Yericko ni mbunge kivuli!Yule waziri wa Mabando je? Ambaye ndio jimbo lake
Iringa na Mbeya ni mfano mzuri!Na hao wamiliki bajaji bila kudhibitiwa mapema mbeleni daladala wajiandae kupaki
Enzi za mama rukhsa!Nchi inarudi kwenye enzi zake
Ni haki yao ya kikataba, dikteta alikuwa anaminya katibaNchi inarudi kwenye migomo? Iringa wamegoma mwezi uliopita, Mbeya wamegoma juzi, leo hii tena jijin huko duuuu
Ni kwasababu mipango mingi inapangwa na serikali (watu wachache wanajifungia na kufanya mipango) bila kuwashirikisha wananchi ambao ndiyo beneficiariesNchi inarudi kwenye migomo? Iringa wamegoma mwezi uliopita, Mbeya wamegoma juzi, leo hii tena jijin huko duuuu
CCM oyeeLeo Tar 20 May 2021 kuanzia Majira ya Asbuhi Magari ya Abiria maarufu kama Daladala Yaendayo Kigamboni Kupitia Daraja kuu la Kigamboni (Mwl.Nyerere) Yamegoma kufanya Safari zake kutoka Kigamboni hadi Karume Ilala kupitia Kilwa Road.
Sababu ni Kupinga kuhamishwa kwa Kituo kikuu cha Mabasi hayo kutoka Ferry Kivukoni hadi Kata ya Tungi.
Abiria /Wananchi wengi wanapata Tabu sana muda huu.
Pia njia ya Mji Mwema kuelekea PembaMnazi wamegoma
Sijui kwanini wakati wa kupanga huwa hawashiriki watu muhimu kama hao?Watendaji na wapangaji wa haya mambo sijui huwa wanafikiria vitu gani au kwa sababu wao hawatumii huu usafiri wa uma ndio maana hawazingatii athari kwa walaji.
Pale kivukoni ndio center kubwa ambayo watu kutoka viunga vyote vya kigamboni huletwa na mabasi kisha baada ya hapo wavuke kwenda mjini au wapande hizo machinga kupitia darajani, sasa leo unapohamisha basi za machinga na kuzipeleka ndani ya mji wakati bado kituo kikuu cha hizi basi nyingine kinabaki kuwa kivukoni hapo unakua unawalazimisha abiria wanaotaka kuvuka kupitia darajani wapande bajaj (Tsh 500) ili kuzifata hizo machinga huko Tungi na baadae alipe tena kiasi hicho hicho anapokua anarudi. Kwa mtu wa kipato cha chini nyongeza hii ktk gharama ya usafiri ni kubwa, mamlaka husika inabidi walitazame vizuri ili maboresho wanayofanya yasiumize watumiaji wa huduma husika.
Wanapanga huku V8 zimejaa mafuta nje ya ofisiNi kwasababu mipango mingi inapangwa na serikali (watu wachache wanajifungia na kufanya mipango) bila kuwashirikisha wananchi ambao ndiyo beneficiaries
Na ndiyo enzi sahihi sasa! Enzi za kuumizana, kutesana, kuuana, kutishana, kupotezana, kudhulumiana, kuabudiana, kutukuzana, kusujudiana, kubaguana, nk. Hazina tija kwa ulimwengu wa sasa.Nchi inarudi kwenye enzi zake
hakuna cha enzi yoyote, haya yote ni madhara ya utawala wa CCM kutawala kwa aina ile ile miaka nenda rudi - Kwa mfano Halmashauri iliyoongozwa na CCM miaka yote Temeke na sasa Kigamboni hawakujua watahitaji eneo kubwa la stand maeneo ya pale ferry?Nchi inarudi kwenye enzi zake