Mgomo wa Daladala Kigamboni

Hilo ndo tatizo la wanyonge wanavurugwa vurugwa kama maandazi kikangoni,
 
Nchi inarudi kwenye migomo? Iringa wamegoma mwezi uliopita, Mbeya wamegoma juzi, leo hii tena jijin huko duuu.
Wacha watu waonyeshe matatizo yao mbalimbali kwa uwazi ili wahusika watafute ufumbuzi wa kudumu utakao nufaisha pande zote.Tabia ya uko nyuma serikali yakutotaka matatizo yasemwe kwa uwazi na kuyaficha kwa ubabe haikuyafanya matatizo hayo yaondoke badala yakuyafunika kwa muda.
 
Iringa na Mbeya ni mfano mzuri!
aaaaahaaa ugolwe kwetusogolye kwe kuko.wasilete mazoe ,kwasababu likigeuzwa KIUCHUMI SIASa ...habari imeisha ,China watafte soko isiwe zinamwagika bongo kama njugu ,somalia huko hawaoni soko ,aaaha
 
HII PICHA SI YA KIGAMBONI
 
Ww unatoka cheka gari linafika mnadani upande bajaji jero harafu tena ulipe mia mbili uvuke ukijumilsha na nauli ya kutoka cheka ni 900 ....900+500+200=1600 .Tukisema wapanga mipango ni machizi au wakitumbuliwa wanaanza kuona Mama anawaonea kumbe nyie ndo hamna huruma na wananchi wa hali ya chini
 
Miaka mitano na ushee ya JPM haya yalikuwa historia.
 
Bora migomo ya wazi inayopatiwa ufumbuzi kuliko ile ya kimyakimya iliyofanya mazao yakaanguka bei mpaka uchumi ukazorota...
Nchi inarudi kwenye migomo? Iringa wamegoma mwezi uliopita, Mbeya wamegoma juzi, leo hii tena jijin huko duuu.
 
SAmia : "Sijaribiwi"

Abiria wa Mbagala Zakhem kupitia Vikunai, Mgeni nani -chekechea nao wagome, wanalipishwa nauli 500 sehemu waliyopaswa kulipa 300.
 
SAmia : "Sijaribiwi"

Abiria wa Mbagala Zakhem kupitia Vikunai, Mgeni nani -chekechea nao wagome, wanalipishwa nauli 500 sehemu waliyopaswa kulipa 300.
Sukari ilitoka 1400 hadi 2400 na ikasemwa bei imeshuka!! Bado mazwazwa yakashangilia na kuona "wanyonge wametetewa!!" Akili za kidanganyika tunazijua wenyewe...
 
Sukari ilitoka 1400 hadi 2400 na ikasemwa bei imeshuka!! Bado mazwazwa yakashangilia na kuona "wanyonge wametetewa!!" Akili za kidanganyika tunazijua wenyewe...
Ndio maana wameanzisha shue za kata na wakasema kiswahili ni lugha ya kimataifa huku wanyonge wakishangilia kwa vifijo , wakati watoto wetu wanasoma international school kuja kuwatawala mazwazwa milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…