Mgomo wa daladala na gari za abiria za kwenda njia ya Pangani

Mgomo wa daladala na gari za abiria za kwenda njia ya Pangani

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Mlio Tanga tuhabarishe tunasikia daladala za kwenda njia ya Pangani Wamegoma kisa barabara mbaya inaharibu magari yao.

Ni kweli? Hali ikoje?
 
Nchi ya migomo badala ya kufanya kazi, halafu tunataka maendeleo.
 
Back
Top Bottom