MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,410
- 8,184
Habari wadau,
Ukweli mchungu ni kwamba wauza maduka Kariakoo mgomo wao hauna nguvu na wala serikali haiwaogopi sababu hawatishi. Machinga ndio wanatisha maana ni jeshi kubwa.
Kuna wakuu wa mikoa kibao walijaribu kutaka kuwaondoa wamachinga wakajikuta wamepoteza vyeo vyao.
Wamachinga walilalamika kidogo tu Rais mwenyewe aliogopa akasema sijasema wamachinga wafukuzwe bali nimesema wamachinga wapangwe.
Wafanyabiashara wa maduka hao hawana effect hivyo serikali hata haiwaogopi, wanavyoendelea kugoma kufungua maduka ni wanajitia hasara wenyewe tu, serikali haina cha kupoteza.
Pia soma ===> Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024