Mgomo wa Madaktari na Wafanyakazi wa hospitali ya Dar group (T.O.H.S) kuanza Februari 14

Migomo inaanza na mapigano ya wakulima na wafugaji imeanza

Migao ya Umeme na maji na taratiib Wilaya zinazokabiliwa na njaa zitaanza
 
Migomo inaanza na mapigano ya wakulima na wafugaji imeanza

Migao ya Umeme na maji na taratiib Wilaya zinazokabiliwa na njaa zitaanza

surely , ni mwendo wa kula kwa urefu wa kamba [emoji28] [mention]Pohamba [/mention]
 
Kunatakiwa tukio moja la kidikteta hizi chokochoko ziishe. Hawa wanaweza kidhi hivi vigezo.
 
Wa mlima kolelo pia tuna ndugu wanaohudumiwa pale [mention]Bambushka [/mention]
Hii Dar Group ni jina lingine la hospital ipi, labda, Amana, Temeke, Sanitas, Aga Khan, Kairuki, TMJ au Lugalo au ni Muhimbili???
Kwanza IPO sehemu gani??
 
Hii Dar Group ni jina lingine la hospital ipi, labda, Amana, Temeke, Sanitas, Aga Khan, Kairuki, TMJ au Lugalo au ni Muhimbili???
Kwanza IPO sehemu gani??

Ipo Tazara pembeni ya daraja la mfugale, jina lingine inaitwa Tanzania occupational health services (T.o.h.s ) imahudumia wakazi wengi sana wa temeke , gombo la mboto ,buza , bugurun, chanika na ilala pia . Ni hsptl kongwe japo imedumaa sababu ya upigaji
 
Hii Dar Group ni jina lingine la hospital ipi, labda, Amana, Temeke, Sanitas, Aga Khan, Kairuki, TMJ au Lugalo au ni Muhimbili???
Kwanza IPO sehemu gani??

Pia hsptl hiyo identity yake ni kama inafichwa hata ukipata pale ni vigumu kuweza kutambua kama kuna hsptl hamna bango elekez lililo kubwa pia haina hata tovuti japo ina miaka zaid ya 50
 
Maneno mengi hakuna la maana.. Halafu bana sisi mgomo hatutaki utagoma pekee ako😂😂

Sisi tunaenda na kauli mbiu ya Mama KAZI IENDELEE
 
Bana sisi tutakuja kutibiwa hapo.. Utagoma pekee ako bwege wewe
 
Maneno mengi hakuna la maana.. Halafu bana sisi mgomo hatutaki utagoma pekee ako[emoji23][emoji23]

Sisi tunaenda na kauli mbiu ya Mama KAZI IENDELEE

[mention]Marashi [/mention] chawa kama ww tunakujua vizur
upo pale kiundugu na hauna vyeti tulia subiria tarehe 14 kiwake , [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…