Mgomo wa Madaktari na Wafanyakazi wa hospitali ya Dar group (T.O.H.S) kuanza Februari 14


Identity yetu ni Drs na wafanyakazi qualified , TUNAKUJUA WW NA BOTS WENZIO MMEVOTUMWA HAPA KUDEFEND BLINDLY , JIBU HOJA TAJWA HAPO JUU
THIS TIME WE MEAN BUSINESS TAREHE 14 SIO MBALI ITAFAHAMIKA (WELL ORGANIZED ) [mention]Istanbul [/mention]
 
1. Msajili wa hospitali binafsi hana taarifa ya mgogoto huu?
2. RMO nae hana taarifa?
3. DMO nae je?
4. RHMT na CHMT walishawahi fika hapo na kuangalia kinachoendele?

Bila shaka huduma hapo zitakuwa zimedolola sana kutokana na huu mgogoro hapo sio sehemu salama kwa wagonjwa kwenda
 
Sisi kama madaktari kwa umoja wetu tunawasapoti Madaktari na wafanyakazi wa dar group ktk suala hili maana limechukua zaid ya mwaka 1bila suluhisho ilihali likiathiri utendaji kazi na morali za wafanyakazi, viongozi hao wanaendelea kuhujumu hsptl .Muda ndio huu wixara ya afya ,Mh.Ummy mwalimu maliza kadhia hii
 
Hao RHMT ndio walipewa jukumu la kuiangalia hsptl na RAS ofice lakin hao wakaingia deal la upigaji na viongoz wasiotakiwa na kuwa kitu kimoja yaana hao ndio walikua wanawafukuza madaktari pindi wakiwa pelekea changamoto wazitatue
 
Update:Tokea asubuhi hsptl haina maji na umeme had muda huu hospital ipo gizaa, hsptl ina back up generator mbili lakin zote mpaka muda hazifanyi kazi ilihali ratiba ya mgao wa umeme ilitoka kabla lakin hakuna chochote kilichofanyuka mpaka kujiandaa na suala hili wenyewe wanajali maslahi binafsi, HIVI IMAGINE KUNA WAGONJWA WA EMERGENCY ZA WAJAUZITO AU OPERATION THEATRE NA UMEME NDIO HIVO HAUPO WHAT NEXT KAMA SIO VIFO VYA UZEMBE
 
Pimbi wewe ndiyo unakula nao. Ninazo details za hiyo hospital kiasi kwamba siwezi kuziweka hadharani. Rudi pale omba uingie consultants rooms ziko mbili pale tu jirani na reception. Leo siku nzima hakuna maji, umeme hakuna na standby generator hazifanyi KAZI. Jumapili nilikuwepo pale kwa mission zangu. Maji hayakuwepo mpaka ICU ward nilihoji ndugu wa mgonjwa alikuwa anaenda kuchota maji. Surgical Ward iko Opposite Pharmacy na ICU, hii imefungwa kabisa!!!! Unataka niendelee. Nyamaza.
Kifupi Hospital iwe under Receivership ya Appointee wa Serikali wakati wakiamua hatma yake. Hivi mgonjwa yuko Theatre na umeme unakatika!!!!! Generator mtihani.

Hospital ilikuwa nzuri na huduma nzuri Sana back the. Jinamizi limeila.
 
Kama mnafanya kazi na mnalipwa mishahara tatizo ni nini mkuu?
 
Asa mbona unajificha fichw jiweke wazi kiongozi wetu wa maandamano bwege nazi wewe
 
Identity yetu ni Drs na wafanyakazi qualified , TUNAKUJUA WW NA BOTS WENZIO MMEVOTUMWA HAPA KUDEFEND BLINDLY , JIBU HOJA TAJWA HAPO JUU
THIS TIME WE MEAN BUSINESS TAREHE 14 SIO MBALI ITAFAHAMIKA (WELL ORGANIZED ) [mention]Istanbul [/mention]
Doctor hawez kuwa na akili mbovu kama zako.. Mi ni mtanzania mpenda maendeleo
 
WE MTU MPUUZI MBONA ASA MAANDAMANO UMEHAIRISHA BILA KUTUPA TAARIFA😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…