Mgomo wa madereva Utaondoka na Vyeo vya watu

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Mgomo huu ndo kielelezo cha kwamba watendaji na Wateule wa Samia hawajalli Shida za Wananchi.

Yaani wanafanya kazi kwa Vitisho na Ubabe mwingi sababu hawajateuliwa.

Serikali inayowajibika kwa Wanancgi lazima ifanye mabadiliko.

Watu wanakaa Ofisini muda mrefu na kufanya kazi kwa Mazoea.

Chalamila sijamuona mtaani. Au bado anaumwa? Safari hii awe makini asife. Anachezea ICD za wakubwa🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…