we unaumwa dengue nin, kwani wew ndo unaicontrol hyo pesa au nyie viumbe wa dar ndo mnacontrol pesa? si tutapiga biashara wenyewe kwa wenyewe na tunamake pesa fresh, na bdo tunapiga wali, ugali, viaz, ndizi, mihogo,maharage, na kila aina ya msosi. nyie leteni masihara tuangushe kimkoa chenu hcho.Gomeni kuleta mapochopocho hayo hapa mjini Mkose hata senti za kununulia mafuta ya taa huko mikoani...
we unaumwa dengue nin, kwani wew ndo unaicontrol hyo pesa au nyie viumbe wa dar ndo mnacontrol pesa? si tutapiga biashara wenyewe kwa wenyewe na tunamake pesa fresh, na bdo tunapiga wali, ugali, viaz, ndizi, mihogo,maharage, na kila aina ya msosi. nyie leteni masihara tuangushe kimkoa chenu hcho.
Hahaa..ndiyo akili zenu hizo watu wa mikoani..magonjwa na kula...hamfikirii hela.we unaumwa dengue nin, kwani wew ndo unaicontrol hyo pesa au nyie viumbe wa dar ndo mnacontrol pesa? si tutapiga biashara wenyewe kwa wenyewe na tunamake pesa fresh, na bdo tunapiga wali, ugali, viaz, ndizi, mihogo,maharage, na kila aina ya msosi. nyie leteni masihara tuangushe kimkoa chenu hcho.
ntakutafuta dogo, nisikushike...Hahaa..ndiyo akili zenu hizo watu wa mikoani..magonjwa na kula...hamfikirii hela.
Ndo maana mkiletewa buku 5000 au Ubwabwa wakati wa uchaguzi mnaonaga nyingiii..
Mbona umepanik bro......kuwa mpole anakutania 2we unaumwa dengue nin, kwani wew ndo unaicontrol hyo pesa au nyie viumbe wa dar ndo mnacontrol pesa? si tutapiga biashara wenyewe kwa wenyewe na tunamake pesa fresh, na bdo tunapiga wali, ugali, viaz, ndizi, mihogo,maharage, na kila aina ya msosi. nyie leteni masihara tuangushe kimkoa chenu hcho.