Membensamba
Senior Member
- Nov 4, 2010
- 157
- 10
How sure are you on these claims of that level of Police Brutality in our country??? Please, come on ...!!! Bring out the whole truth out of the bag!
Nyinyi wanafunzi UDOM ambao pia ni wanachama wa JF, ukweli uko wapi hapa. Maana ni juzi tu tumeshikishwa Breki na CHADEMA kuandamana kuondoa watu wazembe kule Wizara ya Mambo ya Ndani na bado hatujarithika hata kidogo.
ni nipo udom ni unafiki wa bure nashauri mamlaka za juu ziwachukulie hatua kali za kisheria wana toa habari za uchichezi hapa,,kwanza jamiiforum imekaa ki chadema,,acheni kutuaribia chuo chetu,,,ukweli si utajulikana?????

Sasa JF kukaa kiChadema inahusiana vp na mada husika?
Nina mashaka uanafunzi wako, University haiwezi kuwa na mwanafunzi anaecoment pumba kama hizo.
Mdau uliye m'quote hapo juu alikuwa anaomba tu uthibitisho toka kwa member yeyote ambaye ni mwanachuo wa Udom. Sasa wewe badala ya kukanusha tu kuwa habari si za kweli unaita watu wazushi, wanafki na wachochezi.
Baadae unasema "ukweli utajulikana"
Which is which?
Shame on you unayejiita mwanafunzi wa Udom.
@Mmanyi"kwanza jamiiforum imekaa ki chadema,acheni kutuaribia chuo chetu,,,ukweli si utajulikana?????
Wewe ndio ulipitisha roll-call??ni uongo na uzushi mtupu...
ni uongo na uzushi mtupu...
ni uongo na uzushi mtupu...
Habari za ndani udom zinasema kuwa kuna wanafunzi wawili waliuawa kwenye maandamano, mmoja wao akiwa ni mja mzito. Lakini hili linafunikwa ili skendo hii isiwe isijulikane.
Yuko na mwanafunzi mwingine aliyebakwa na ffu hao hao. Waulizeni wanafunzi udom watawaambia vyema mambo haya. Hii ni dalili ya hatari sana na inapaswa kuundiwa kamati ya uchunguzi ili haki itendeke. Kama jeshi la polisi likianza kutuulia na kubaka watoto wetu basi kinachobaki ni kuwa wakimbizi nchini mwetu. Utamaduni huu ukiachwa ujijenge ni hatari.
@Mmanyi"kwanza jamiiforum imekaa ki chadema,acheni kutuaribia chuo chetu,,,ukweli si utajulikana?????