Mgomo wa waalimu nafikiri uwe hivi.

juniormuk

Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
18
Reaction score
3
Kwa kuwa sina uhakika na uwezo wa cwt wa kuwalipa waalimu wakiwa katika mgomo,na kwa kuwa sheria za nchi zinasema kuwa ukifanya kazi kuanzia tarehe moja mpaka 15 unastahili kupewa mshahara,hivyo basi nashauri mgomo uanze kuanzia tarehe17 wa mwezi husika na ikifika tarehe 1 ya mwezi mwingine warudi kazini mpaka tarehe 16 ya mwezi huo,tarehe 17 mgomo uendelee mpaka hapo serikali itakapofunguka.Naamini kwa stail hii kinaweza eleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…