Phlagiey
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,487
- 1,661
Habari ya hapa wakuu...
Leo katika jiji la mwanza ni taafulani baada ya wafanya biashara wote hapa kutanga mgomo kwa siku zisizo julikana, lengo ikiwa ni kufikisha ujumbe kwa TRA, juu ya gharama za mashine za EFD, mgomo huu umeanza leo majira ya saa mbili maeneo ya mjini kati, huku wahamasishaji wakipita pia katika mitaa kuwa taarifu wafanya biashara wengine wa mitaani kufunga biasha zao.
Hali kwa upande wa wakazi wa Mwanza na wale wa maeneo na mikoa ya jirani wanao kuja kwaajili ya kupata huduma imewapa wakati mgumu kutokana na mgomo huo, hivyo kujikuta wakiambulia makufuri katika maduka, hasa ukizingatia msimu huu wa sikukuu unakuwa na mishe mishe za hapa na pale kwa wafanya biashara.
Kwa wale wakazi wa mitaani ndo mbaya zaidi kutoka na maduka mengi kuonekana yamefungwa hivyo huduma hazipatikani imebaki pata shika, watu wakihangaika kuzitafuta huduma huku na huko bila mafanikio