anti-Glazer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 291
- 482
Nianze Moja Kwa Moja.
1. Sekta ya biashara ndiyo Kila kitu. Ieleweke kwamba watumishi wa umma wasipojifunza kwaambafanyabiashara ndiyo mfalme wa kada zote basi hawatarthubutu kugoma maana hawana nguvu.
Serikali zote duniani biashara trade is another level. Zinaheshimu wafanyabiashara kupita maelezo.
2. Rushwa Ina madhara makubwa Sana. Na mara nying wanyonge huteseka mno.
Katika sekta ya imma. Public service, mtumishi anateswa directly and indirect na Wala rushwa na maraa zote Wala rushwa ni wale wale wakubwa. Hulu kwenye biashara kariakoo wakubwa na tra yao wakila magendo na marishwa, mfanyabiashara akifunga biashara yaake au aakaamua kifanya trade divergence ataumia na mlaji huteseka mno.